Nisamehe kwa kuandika haya katika lugha ya Kiswahili.

Fikira hii ilianzishwa na MFauzan anayepatikana hapa katika itch io

Ninaamini kwamba kutoelewa vitu kwangu hufanya nivikumbuke vitu vyema. Hivyo basi, nimejitolea kuunda mchezo huu kutumia lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza.

Hivyobasi sitaitafsiri kurudi Kiingereza ili nione kana kwamba mchezo unaweza kuwa na lugha wake.

Hivyobasi naomba usitafute maana ya maneno yaliwemo mchezoni kama huelewi vyema ili uniambie jinsi ulivyohisi kuhusu hayo uliyoyahisi kuhusu mchezo huu. Kama hadithi unaihitaji ninamaana kama yafuatayo.

Kabla ya watu kujiandaa katika shughuli za kusema wasiyoyapenda, shida hizi ziwepo kwa mfano:

1. miraba ya kuguswa husonga. Nimejitahidi kuunda haya ila nimeambulia patupu katika kiwango kidogo.

2. mraba hukwama wakati mwingine unapokaribia mwiba. Itabidi ubonyeze vitu viingine ili ifanye kazi. 

Asante kwa kusoma na kucheza. Nashukuru.

Mchezo huu umeundwa kwa muda wa siku tatu na nusu hivi. Hivyo basi, usitarajie makubwa. Namshukuru Maulana kwa kunipa nguvu ya kutekeleza haya

StatusReleased
PlatformsHTML5
Rating
Rated 3.0 out of 5 stars
(1 total ratings)
Authorminidavid
GenreShooter, Platformer, Puzzle
Made withTIC-80
Tags2D, christian, Christmas, PICO-8, Puzzle-Platformer, Retro, swahili, TIC-80
Average sessionA few minutes
LanguagesSwahili
InputsKeyboard

Comments

Log in with itch.io to leave a comment.

Merry Christmas